07 October 2021

USAFI MAOFISINI

 IPILIMO CO LTD, tunayo leseni ya kufanya KAZI za Usafi Maeneo mbalimbali kama:

1) Ofisi na majengo ya serikali

2) Ofisi na majengo binafsi

3) Majengo ya biashara 

4) Viwanda, godowns, shule, vyuo, nyumba binafsi, masoko, zahanati, mahoteli, site za ujenzi wowote nk

TAFADHARI, POPOTE TANZANIA , kama unahitaji huduma hizi Kwa mkataba WA MDA mfupi au mrefu karibu Kwa mazungumzo: 0714212391